Thursday, 21 August 2014

BALOZI WA UHOLANZI AZUNGUMZA NA RAIS DK.SHEIN

IMG_1579 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi wa Uholanzi nchini Tanzania Bw.Jaap Frederiks alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa mazungumzo leo.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]IMG_1598Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Balozi wa Uholanzi nchini Tanzania Bw.Jaap Frederiks alipofika Ikulu Mjini Zanzibar baada ya mazungumzo leo.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

No comments:

Post a Comment