Mbunge
wa Temeke, Abbas Mtemvu akihutubia mkutano wa hadhara uliofabyika
kwenye Uwanja wa shule ya Sokoine, Temeke jijini Dar es Salaam, jana,
Agosti 30, 2014.
Mtemvu akishangiliwa wakati akihutubia mkutano huo wa hadhara
Mbunge
wa Temeke Abbas Mtemvu akimpa kadi ya Uanachama wa UWT Maridha Rajabu
wakati wa mkutano huo, wanachama wapya 45 wa jumuia hiyo walipewa kadi
Mbunge
wa temeke, Mtemvu akimtuza msanii Omari Tego baada ya kukunwa na
msanii huo kwa kuimba wimbo maalum wa CCM wakati wa mkutano huo
Mbunge
wa temeke, Mtemvu akimpongeza baada ya kumtuza msanii Omari Tego baada
ya kukunwa na msanii huo kwa kuimba wimbo maalum wa CCM wakati wa
mkutano huo
Umati wa wananchi ukiwa umefurika wakati wa mkutano huo
Mwenyekiti
wa UWT Kata ya Azimio, Tatu Hassan akifungua mkutano huo, kwenye Uwanja
wa Sokoine Temeke kabla ya kuhutubiwa na Mtemvu
Diwani wa Kata ya Azimio, Hamisi Mzuzuri akieleza utekelezaji wa ilani ya CCM katika kata hiyo wakati wa mkutano huo
Ofisa
Kutoka Makao Makuu ya CCM, Idara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa
Kimataifa, Gifti Isaya akipata picha kupitia simu yake kwenye mkutano
huo
Waalikwa
wakiwa kwenye mkutano huo. Wapili walioketi kulia ni Ofisa katika Idara
ya Mambo ya Nje Makao Makuu ya CCM, Gift Isaya akifuatilia kwa makini
pamoja na wenzake
Msanii
Yusuf Peter wa Kikundi cha hamasa Temeke, akionyesha vimbwanga vyake
mbele ya mke wa Mbunge wa Temeke Mama Mtemvu (kulia)
Msanii
Ahmadi Juma wa kikundi cha hamasa Temeke, akionyesha uhodari wa ‘kula’
moto wakati kikundi hicho kikitoa burudani wakati wa mkutano huo
Mtemvu akiwatuza wasanii waliotia fora uwanjani wakati wa mkutano huo. Picha zote na Bashir Nkoromo wa CCM Blog










.jpg)


No comments:
Post a Comment