Sunday, 21 September 2014

BAADA YA KUMALIZA BAGAMOYO LEO KESHO NI CHALINZE

 
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akimsikiliza Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi na Mbunge wa jimbo la Bagamoyo Dr. Shukuru Kawambwa akielekeza jambo wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya Magomeni mjini Bagamoyo, Kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Bagamoyo Mh. Ahmde Kipozi. 4 
Baadhi ya wananchi waliohudhuria katika mkutano huo. 9 
Baadhi ya wanachama wapya wa CCM wakila kiapo mara baada ya kupokea kadi zao za uanachama wa CCM leo mjini Bagamoyo. 12 
Katibu wa NEC Itikadi, Siasa na Uenezi CCM Ndugu Nape Nnauye akitema cheche katika mkkutano huo.

No comments:

Post a Comment