Monday, 29 September 2014

Bunge Maalum la Katiba mjini Dodoma leo


Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta akiongoza bunge hilo wakati wa kipindi cha upigaji kura Rasimu inayopendekezwa leo 29 Septemba, 2014.
(Picha zote na Benedict Liwenga, Maelezo-Dodoma)


Waziri Mkuu wa Tanzania ambaye pia ni mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Mizengo Pinda akiipigia kura Rasimu inayopendekezwa leo 29 Septemba, 2014.


Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba toka upande wa Zanzibar wakiwa wamekaa upande wao bungeni hapo leo 29 Septemba, 2014 mjini Dodoma.


Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba toka upande wa Tanzania Bara wakiwa wamekaa upande wao bungeni hap oleo 29 Septemba, 2014 mjini Dodoma.


Makamu wa Pili wa Zanzibar ambaye pia ni mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Seif Ali Idd akipiga kura yake bungeni hapo kuipigia Rasimu ya Katiba inayopendekezwa leo 29 Septemba, 2014 mjini Dodoma.



Mjumbe wa Bunge Maalum toka upande wa Zanzibar, Mhe. Pandu Ameir Kificho naye akiipigia kura Rasimu ya Katiba inayopendekezwa bungeni hapo leo 29 Septemba, 2014 mjini Dodoma.

No comments:

Post a Comment