Tuesday, 23 September 2014

CHENGE AKABIDHI RASIMU YA KATIBA INAYOPENDEKEZWA KWA MWENYEKITI BUNGE MAALUM LA KATIBA



 
Mwenyekiti wa Kamati ya Uandishi ya Bunge Maalum la Katiba Mhe. Andrew Chenge akimkabidhi Mwenyekiti wa Bunge hilo Mhe. Samuel Sitta Rasimu ya Katiba Inayopendekezwa wakati wa kikao cha Kamati ya Uongozi cha Bunge hilo leo. Kamati ya Uandishi imemaliza kazi ya kuandaa Rasimu hiyo na inatarajiwa kusomwa Bungeni kesho.

No comments:

Post a Comment