Monday, 29 September 2014

DK.SHEIN KUKUTANA NA UJUMBE KUTOKA CUBA

IMG_7920Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Naibu Waziri wa Ufundishaji na Utafiti  katika Wizara ya Afya ya Jamii Cuba Dr.Marieta Cutino Redriguez akiongoza Ujumbe wa Viongozi wa Afya Kutoka Cuba walipokutana na Rais Ikulu Mjini  Zanzibar leo.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
IMG_7945Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na  Ujumbe wa Viongozi wa Afya kutoka Cuba unaoongozwa Naibu Waziri wa Ufundishaji na Utafiti  katika Wizara ya Afya ya Jamii Cuba Dr.Marieta Cutino Redriguez akiwemo na Balozi wa Cuba Nchini Tanzania Jorge Luis Lopez Tormo walipokutana na Rais Ikulu Mjini  Zanzibar leo.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

No comments:

Post a Comment