Saturday, 27 September 2014

KATIBU MKUU WA CCM A.KINANA AANZA ZIARA WILAYANI LUSHOTO

01Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwasili katika kitongoji cha Kwesimu wakati alipokitembelea kikundi cha kuhifadhi  Mazingira katika eneo hilo ambapo ameshiriki kazi za mikono za kuotesha miche katika kikundi hicho, Kinana leo ameanza ziara ya kikazi wilayani Lushoto akikagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010 na kuhimiza wananchi kushiriki katika shughuli za maendeleo, akiwa ameongoza na na Nape Nnauye  Katibu wa NEC Siasa, Itikadi na Uenezi katikati na kulia ni Mh. Henry Shekifu Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Tanga.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-LUSHOTO-TANGA)1Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kwa vitendo katika kazi ya kuotesha miche ya miti wakati alipokitembelea na kukagua shughuli za kikundi cha kutunza Mazingira cha Kwesimu wilayani Lushoto.3Nape Nnauye  Katibu wa NEC Siasa, Itikadi na Uenezi akipiga gitaa huku akiimba kabla ya kunaza kwa kikao cha ndani cha halmashauri ya wilaya ya Lushoto.6Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wajumbe wa Halmashauri kuu ya CCM wilaya ya Lushoto9Baadhi ya wajumbe wakiwa katika mkutano huo.4Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki katika ujenzi wa ofisi ya CCM tawi la Jegestal mjini Lushoto.  7Baadhi ya miche ambayo imeoteshwa na kikundi cha kutunza mazingira cha Kwesimu mjini wilayani Lushoto.5Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwapungia wananchi mkono mara baada ya kuwasili katika kata ya Mlola ambapo amewahutubia wananchi.8Baadhi ya wananchi waliohudhuria katika mkutano huo. 1011Baadhi ya wananchi waliohudhuria katika mkutano huo.12Mbunge wa jimbo la Korogwe vijijini Mh. Steven Ngonyani akiwahutubia wananchi wa Mlola wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika katika kata hiyo leo13Nape Nnauye  Katibu wa NEC Siasa, Itikadi na Uenezi akiwahutubia wananchi wa Mlola wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika katika kata hiyo leo14Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisisitiza jambo wakati akiwahutubia wananchi wa Mlola wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika katika kata hiyo leo15Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia wananchi wa Mlola wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika katika kata hiyo leo17Mkuu wa wilaya ya Lushoto  Mhe. Majid Hemed Mwanga akifafanua jambo kwa wananchi mbele yaKatibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana  wakati wa kipindi cha maswali na majibu kwa wananchi.18Mmoja wa akina mama waliofika kwenye mkutano huo akiuliza swali kuhusu mambo ya afya.

No comments:

Post a Comment