Katibu Mkuu CCM Ndugu
Abdulramhani Kinana akivishwa skafumara baada ya kuwasili katika eneo
la Mkata mkoani Tanga akianza ziara yake mkoani humo baada ya kumaliza
mkoa wa Pwani, Ndugu Abdulrahman Kinana yuko katika ziara ya kukagua
ilani ya uchauzi ya CCM ya mwaka 2010 na kuhimiza utekelezaji ikiwa ni
pamoja na kuwahimizi wananchi kushiriki katika shughuli za Maendeleo,
Katika ziara hiyo Kinana anaongozana na Nape Nnauye Katibu wa NEC Siasa,
Itikadi na Uenezi.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-HANDENI)
Katibu Mkuu CCM Ndugu Abdulramhani Kinana akiongozana na Menyekiti wa CCM mkoani Tanga Henry Daffa Shekifu mara baada ya kupokelewa katika kata ya Mkata wilayani
Katibu Mkuu CCM Ndugu
Abdulramhani Kinana katikati pamoja na mwenyeji wake mwenyekiti wa
CCMmkoa wa Tanga Henry Daffa Shekifu wakiangalia burudabi za vikundi vyaHandeni.
ngoma.
Mhandisi
wa maji wilayani Handeni Injinia Richard Macha akisoma maelezo ya mradi
huo mbele ya Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana.
Mbunge
wa jimbo la Handeni Dr. Abdallah Kigoda akizungumza wakati akieleza juu
ya mradi wa maji unaotekelezwa katika kata ya Mkata.
Katibu Mkuu CCM Ndugu Abdulramhani Kinana akizungumza na wananchi pamoja na viongozi wa mkoa wa Tanga na wilaya ya Handeni kabla ya kukagua mradi huo.
Katibu Mkuu CCM Ndugu Abdulramhani Kinana akishirikikazi ya kumwaga zege katika msigi wa tanki hilo kwa kubeba ndoo zilizojawa zege.
Katibu Mkuu CCM Ndugu Abdulramhani Kinana akishiriki
kupakua mabomba ya mradi huo unaoendelea kujengwa kata ya Mkata,
anayeshirikiana naye ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Tanga Henry Daffa Shekifu
Katibu Mkuu CCM Ndugu Abdulramhani Kinana akishiriki kazi ya kumwaga zenge kwenye vyumba vya maabara vinavyojengwa katika shule ya sekondari ya Kwarugulu
Katibu Mkuu CCM Ndugu Abdulramhani Kinana akishiriki katika ujenzi wa ofisi ya CCM tawi la Kwenjugo wakati alipotembelea wanachama wa tawi hilo.
Nape
Nnauye anayepiga gitaa na Mkuu wa wilaya ya Handeni Mh. Muhingo
Rweyemamu anayepiga ngoma wakishiriki kutoa burudani katika mkutano huo.
Nape
Nnauye Katibu wa NEC Siasa, Itikadi na Uenezi wakiwapa somo wakazi wa
mjini Handeni katika uwanja wa soko la Zamani kata ya Chanika.
Umati wa wananchi waliojitokeza katika mkutano huo uliofanyika katika uwanja wa soko la Zamani kata ya Chanika.
Mwenyekiti wa CCM Mkoani Tanga Henry Daffa Shekifu akizungumza katika kutano huo uliofanyika mjini Handeni,katika uwanja wa soko la Zamani kata ya Chanika.
Katibu Mkuu CCM Ndugu Abdulramhani Kinana akizungumza na wananchi na kujibu baadhi ya maswali yaliyoulizwa na wananchi hao.mkutano huo umefanyika katika uwanja wa soko la Zamani kata ya Chanika.
Mbunge wa jimbo la Handeni Dr. Abdallah Kigoda akiwahutubia wapiga kura wake wakati wa mkutano wa hadhara mjini Handeni
Mmoja wa vijana waliohudhuria katika kutano huo aliyejulikana kama (Moja kwa Moja) akuliza swali katika mkutano huo



No comments:
Post a Comment