Wednesday, 3 September 2014

Matukio katika picha Bunge Maalum la Katiba Mjini Dodoma 03 Septemba, 2014.

PIX 6. 
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta (kulia) akiteta jambo na Mzee Kingunge Ngombale Mwiru wakati wa Bunge Maalum la Katiba leo 03 Septemba, 2014 Mjini Dodoma.
PIX 2. PIX 7, 
Baadhi ya Wajumbe toka Kamati mbalimbali wakiendelea kuwasilisha taarifa za Kamati zao katika Bunge Maalum la Katiba leo 03 Septemba, 2014 Bungeni Mjini Dodoma.
PIX 11, 

PIX 20. PIX 18. - Copy 
Baadhi ya Wajumbe toka Kamati mbalimbali wakiendelea kuwasilisha taarifa za Kamati zao katika Bunge Maalum la Katiba leo 03 Septemba, 2014 Bungeni Mjini Dodoma.
(Picha zote na Benedict Liwenga, Maelezo-Dodoma)

No comments:

Post a Comment