Tuesday, 14 October 2014

CCM KATA YA TUNGI KIGAMBONI WAKUTANA KUPANGA MIKAKATI YA UCHAGUZI UJAO

Chama Cha Mapinduzi kata ya Tungi jimbo la Kigamboni Wilaya ya Temeke wamekutana leo katika kikao maalumu kupanga mikakati ya uchaguzi ujao wa Serikali za mitaa. Mgeni rasmi katika mkutano huo alikuwa ni MJUMBE wa NEC Ndg. Phares Magesa ambae aliwataka wanachama za CCM kuimarisha Umoja, kuvunja makundi na kuhakikisha CCM inashinda mitaa yote
IMG_3813Ndg. Magesa akisalimiana na wajumbe wa mkutano huo
IMG_3791Ndg. Magesa akihutubia mkutano huo
IMG_3792Baadhi ya wajumbe wa kikao hicho

No comments:

Post a Comment