Katibu Mkuu wa Chadema Dk. Willibrod Slaa akiwasilisha mada juu ya
ushiriki wa vyama vya siasa katika mageuzi Afrika katika mkutano wa siku
nne wa kubadilishana uzoefu kwa vyama vya siasa ulioandaliwa na kituo
cha Demokrasia Tanzania (TCD) na kufadhiliwa na Taasisi ya Demokrasia ya
vyama vingi ya Uholanzi (NIMD). Mkutano huo unahudhuriwa na vyama
kutoka Malawi, Ghana, Uganda na wenyeji Tanzania na kufanyika Zanzibar
No comments:
Post a Comment