Thursday, 23 October 2014

MAMA SALMA KIKWETE KWENYE SHEREHE ZA MIAKA 50 YA USHIRIKIANO WA KIDIPLOMASIA KATI YA TANZANIA NA CHINA HUKO BEIJING

IMG_3889Rais Dkt. Jakaya Kikwete na Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Ndugu Bernard Membe wakisherehekea kutimiza miaka 50 ya Ushirikiano wa Kidiplomasia baina ya Tanzania na Cina kwa kugonganisha glasi zao huku Mama Salma na Makamu wa Rais wa China Ndugu Li Yuanchao (aliyesimama kulia)  wakishuhudia. Sherehe hizo zilifanyika Beijing nchini China tarehe 23.10.2014.
 PICHA NA JOHN  LUKUWI

No comments:

Post a Comment