Naibu Katibu Mkuu wa Chademba Zanzibar, Salumu Mwalimu
akipokewa na viongozi wa chama hicho baada ya kuwasili uwanja wa ndege wa
Zanzibar akifuatana na Katibu Mkuu wa chama hicho, Dk.Wilbrod Slaa (kulia) na
viongozi wengine wa chama hicho jana.
Mamia ya wananchi na
wafuasi wa Chadema kwenye mapokezi ya Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, Salumu Mwalimu
baada ya kuwasili kwenye ofisi hiyo Darajabovu mjini Zanzibar jana.
Dk.Slaa akiteta
jambo na manaibu wake, John Mnyika (kushoto) na Salumu Mwalimu (kulia) kwenye
mkutano na wanachama na viongozi wa chama hicho jana.
Dk.Slaa akiongea na wanachama na viongozi wa Chadema
Wanachama na wapenzi
wa Chadema wakimsikiliza Dk.Slaa alipozungumza nao kwenye ofisi za chama hicho
huko Darajabovu mjini Zanzibar jana.
Salumu Mwalimu
akikabidhiwa vifaa vya ofisi kutoka kwa mtangulizi wake Hamad Yusuf (kushoto)
Katikati ni Katibu
Mkuu wa Chadema, Dk.Wilbrod Slaa.
Salumu Mwalimu kiongea kwenye mkutano wa ndani baada ya kuwasili kwenye
ofisi za chama hicho Darajabovu mjini Zanzibar jana.
No comments:
Post a Comment