Wananchi wa kijiji cha Igalula mkoani Kigoma, wakimsikiliza
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe
wakati alipokuwa akiwahutubia katika mkutano wa hadhara wa Oparesheni
Delete CCM juzi.
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman
Mbowe akiwahutubia wananchi wa kijiji cha Kazuramimba mkoani Kigoma,
katika mkutano wa hadhara wa Oparesheni Delete CCM juzi.
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman
Mbowe akisalimiana na Bi. Mariamu Ramadhani (86), baada ya kuwasili
katika kijiji cha Kapalamsenga mkoani Katavi, ambako alihutubia mkutano
wa hadhara wa Oparesheni Delete CCM juzi.
Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Zanzibar),
Salumu Mwalimu akiwahutubia wananchi wa kijiji cha Kazuramimba mkoani
Kigoma, katika mkutano wa hadhara wa Oparesheni Delete CCM juzi.
Badhii ya waliokuwa viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa serikali
ya kijiji cha Kapalamsenga katika jimbo la Mpanda Vijijini,
wakimkabidhi kadi za CCM Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(Chadema), Freeman Mbowe, walipoamua kujiunga na Chadema, baada ya
mkutano wa Oparesheni Delete CCM, uliofanyika kijijini Hapo juzi.





No comments:
Post a Comment