BALOZI MARMO AKABIDHI HATI ZA UTAMBULISHO KWA RAISI WA USWISSI
Mhe. Balozi Philips S. Marmo, Balozi wa Tanzania nchini Uswissi mwenye makazi mjini Berlin, Ujerumani hivi karibuni alikabidhi Hati za Utambulisho (Letters of Credence)kwa Mhe. Didier Burkhalter, Rais wa Shirikisho wa Serikali ya Uswissi na kufanya maongezi na Mhe. Rais akiwa ameandamana na Mkuu wa Itifaki katika Wizara ya Mambo ya Nje wa Uswissi.
Mhe. Balozi Philips S. Marmo, Balozi wa Tanzania nchini Uswissi mwenye makazi mjini Berlin, Ujerumani akiwa katika mazungumzo na Mhe. Didier Burkhalter, Rais wa Shirikisho wa Serikali ya Uswissi.
No comments:
Post a Comment