POLITIKS BLOG

.

.

Pages

  • Home
  • MAWASILIANO
  • MATUKIO

Friday, 19 December 2014

KIKAO MAALUM CHA KAMATI KUU YA CHAMA KILICHOKUTANA JB BELMONT JIJINI DAR

unnamedMwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Bw. Freeman Mbowe kulia akiwa na Katibu Mkuu wa Chama hicho Dr. Wilbroad Slaa katikati pamoja na Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Bara John Mnyika wakati wa kikao cha Kamati kuu kilichokutana jana kwenye hoteli ya JB Belmonte jijini Dar es salaam na kujadili mambo mbalimbali kuhusu harakati za chama hicho.unnamed1Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Bw. Freeman Mbowe, Said Issa Mohamed Makamu Mwenyekiti Zanzibar na Profesa Abdallah Safari wakiwa katika mkutano huo.unnamed3Mmoja wa wajumbe akizungumza katika kikao hicho.
Posted by POLITIKS BLOG at 06:15
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

No comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

Total Pageviews

Facebook Like Box

My Blog List

  • Father Kidevu
    WIZARA YA HABARI YANADI HUDUMA ZAKE WIKI YA UTUMISHI WA UMMA 2026
    1 hour ago
  • MICHUZI BLOG
    TAHADHALI KWA TAASISI ZA UMMA
    13 hours ago
  • BIN ZUBEIRY
    UBELGIJI YAAMBULIA SARE YA KUFUNGANA BAO 1-1 NA MISRI KOMBE LA DUNIA
    1 day ago
  • CNN.com - Top Stories
    Abortion and guns in 2024 spotlight
    3 years ago
  • Shaffih Dauda
    Polisi wamtoa chozi Gerrard Pique, aongea maneno haya kwa uchungu mwingi
    8 years ago
  • JamiiForums | The Home of Great Thinkers
Picture Window theme. Powered by Blogger.