POLITIKS BLOG

.

.

Pages

  • Home
  • MAWASILIANO
  • MATUKIO

Saturday, 20 December 2014

RAIS KIKWETE ATUNUKU KAMISHENI KWA MAAFISA WAPYA WA JESHI

D92A3114Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimpa zawadi na kumpongeza Luteni Usu Edwin Engelbert Kessy wakati wa hafla ya kutunuku kamisheni maafisa wa jeshi baada kuibuka mwanafunzi bora wakati wa mafunzo ya maafisa wa jeshi yaliyofanyika katika chuo cha jeshi Monduli mjini ArushaD92A3118Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza Luteni Usu Edwin Engelbert Kessy wakati wa hafla ya kutunuku kamisheni maafisa wa jeshi baada kuibuka mwanafunzi bora wakati wa mafunzo ya maafisa wa jeshi yaliyofanyika katika chuo cha jeshi Monduli mjini ArushaD92A3178Rais Kikwete akitunuku Kamisheni maafisa wa jeshi katika chuo cha Jeshi huko Monduli Mkoani Arusha leo.Jumla ya maafisa 171 walitunukiwa kamisheni wakati wa hafla hiyo.
(picha na Freddy Maro).
Posted by POLITIKS BLOG at 11:27
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

No comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

Total Pageviews

Facebook Like Box

My Blog List

  • Father Kidevu
    WIZARA YA HABARI YANADI HUDUMA ZAKE WIKI YA UTUMISHI WA UMMA 2026
    54 minutes ago
  • MICHUZI BLOG
    TAHADHALI KWA TAASISI ZA UMMA
    12 hours ago
  • BIN ZUBEIRY
    UBELGIJI YAAMBULIA SARE YA KUFUNGANA BAO 1-1 NA MISRI KOMBE LA DUNIA
    1 day ago
  • CNN.com - Top Stories
    Abortion and guns in 2024 spotlight
    3 years ago
  • Shaffih Dauda
    Polisi wamtoa chozi Gerrard Pique, aongea maneno haya kwa uchungu mwingi
    8 years ago
  • JamiiForums | The Home of Great Thinkers
Picture Window theme. Powered by Blogger.