POLITIKS BLOG

.

.

Pages

  • Home
  • MAWASILIANO
  • MATUKIO

Wednesday, 21 January 2015

UVCCM ZANZIBAR WAFANYA MATEMBEZI YA MSHIKAMANO KUUNGA MKONO HOTUBA YA DR.SHEIN

1
Naibu Katibu Mkuu wa UVCCM Zanzibar, Shaka Hamdu Shaka akiwahutubia mamia ya vijana baada ya kupokea matembezi ya mshikamano na kufanya mkutano wa hadhara kwenye vianja vya Magogoni Kwa Mabata mjini Zanzibar leo kwa ajili ya kupongeza hotuba ya Rais wa Zanzibar na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibr Dr. Ali Mohamed Shein aliyoitoa tarehe 12/1/2015 katika viwanja vya Amani mjini Zanzibar.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-ZANZIBAR) 4
Umati wa vijana ukiwa kwenye mkutano huo uliofanyika kwenye viwanja wa vya Magogoni kwa Mabata. 5
Umati wa vijana kutoka mikoa mbalimbali ukiwa kwenye mkutano huo uliofanyika kwenye viwanja wa vya Magogoni kwa Mabata. 6Mwenyekiti wa CCM Mjini Ndugu Borafya Silima akiwahutubia vijana na wananchi mbalimbali waliohudhuria katika mkutano huo.2
Baadhi ya vijana wakiwasili katika viwanja vya Magogoni Kwa Mabata kwa matembezi ya mshikamano. 3
Vijana kutoka majimbo mbalimbali wakiwa wamekaa katika mkutano huo.
Posted by POLITIKS BLOG at 10:11
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

No comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

Total Pageviews

Facebook Like Box

My Blog List

  • MICHUZI BLOG
    RAIS WA BURUNDI AMFARIJI RAIS SAMIA KIZIMKAZI ZANZIBAR
    1 week ago
  • Father Kidevu
    DKT. MUYUNGI AITAKA AFRIKA KUTUMIA FURSA YA MADINI
    1 week ago
  • BIN ZUBEIRY
    YANGA SC YASAJILI CHIPUKIZI MWINGINE, NI HUSSEIN MIHAMBO WA MASHUJAA FC
    1 month ago
  • CNN.com - Top Stories
    Abortion and guns in 2024 spotlight
    3 years ago
  • Shaffih Dauda
    Polisi wamtoa chozi Gerrard Pique, aongea maneno haya kwa uchungu mwingi
    8 years ago
  • JamiiForums | The Home of Great Thinkers
Picture Window theme. Powered by Blogger.