POLITIKS BLOG

.

.

Pages

  • Home
  • MAWASILIANO
  • MATUKIO

Sunday, 19 April 2015

MKUTANO WA KAIMU KATIBU MKUU WA CHADEMA JOHN MNYIKA MUSOMA LEO

a01Kaimu Katibu Mkuu John Mnyika leo jioni akihutubia mjini Musoma, Uwanja wa Mkendo baada ya asubuhi kuzindua mafunzo ya timu za kampeni, viongozi wa chama na viongozi wa serikali za mitaa kwa kanda ya Serengeti (Mara, Simiyu na Shinyanga), ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya kushinda dola na kuongoza serikali, kama yalivyozinduliwa kitaifa na Mwenyekiti wa Taifa hivi karibuni jijini Dar es Salaam.
a1Umati wa wananchi ukiwa katika mkutano wa hadhara.
Posted by POLITIKS BLOG at 11:50
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

No comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

Total Pageviews

Facebook Like Box

My Blog List

  • Father Kidevu
    WIZARA YA HABARI YANADI HUDUMA ZAKE WIKI YA UTUMISHI WA UMMA 2026
    1 hour ago
  • MICHUZI BLOG
    TAHADHALI KWA TAASISI ZA UMMA
    13 hours ago
  • BIN ZUBEIRY
    UBELGIJI YAAMBULIA SARE YA KUFUNGANA BAO 1-1 NA MISRI KOMBE LA DUNIA
    1 day ago
  • CNN.com - Top Stories
    Abortion and guns in 2024 spotlight
    3 years ago
  • Shaffih Dauda
    Polisi wamtoa chozi Gerrard Pique, aongea maneno haya kwa uchungu mwingi
    8 years ago
  • JamiiForums | The Home of Great Thinkers
Picture Window theme. Powered by Blogger.