Kiongozi
wa Chama cha ACT –Wazalendo Zitto Kabwe akiwahutubia wakazi wa mji wa
Iringa na Vitongoji vyake jana, ambapo ameibua ufisadi wa Sh.54
Trillioni kwenye ujenzi wa bandari ya Mwambani Mkoani Tanga. Picha na
Mpigapicha Wetu.
Kiongozi
wa Chama cha ACT –Wazalendo Zitto Kabwe, akisalimiana na vijana wa
Mafinga, Mkoani Iringa jana mara baada ya mkutano wa hadhara kwenye
ziara ya chama hicho inaoendelea mikoa ya nyanda za juu kusini.


No comments:
Post a Comment