Mheshimiwa Tundu Lissu akiwahutubia wakazi wa Arusha Mjini katika mkutano mkubwa ulioambatana na mvua kubwa leo.http://chademablog.blogspot.com/PICHA KWA HISANI YA http://chademablog.blogspot.com/
Wakazi wa Arusha wakiwa katika mkutano mkubwa ulioambatana na mvua
lakini wamesema leo hatuondoki hata kama mvua ya mawe itanyesha
Makamanda wakiwa wamelowa chapa chapa lakini bila kujali mvua wameweza kufanya mkutano kama kawaida.




No comments:
Post a Comment