Tuesday, 12 May 2015

RAIS KIKWETE AZURU MAENEO YA MAFURIKO DAR-AJIONEA UHARIBIFU

ja1
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete leo amekagua baadhi ya maeneo yaliyoathiriwa vibaya na mafuriko jijini Dar es Salaam na kuwapa pole wakazi wa maeneo hayo..Maeneo Aliyotembelea Rais leo ni Mbagala Mwanamtitu na Daraja la Msimbazi ambapo amejionea uharibifu uliofanywa na mvua zinazoendelea kunyesha.Pichani Rais Kikwete akiangalia Darala la Mwanamtitu Mbagala lililosombwa na maji na daraja la muda la miti lililojengwa na wakazi wa Eneo hilo na kisha kuwapa pole kwa adha wanazozipata
ja2ja3
.Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa maelekezo kwa mhandisi wa TANROADS kutoa uchafu ulijaa chini ya daraja la Msimbazi eneo la Jangwani(
ja5
Rais Dkt..Jakaya Mrisho Kikwete akikagua Daraja la mto Msimbazi Eneo la Jangwani wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam leo.
ja6
.Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa maelekezo kwa mhandisi wa TANROADS kutoa uchafu ulijaa chini ya daraja la Msimbazi eneo la Jangwani(
ja8
Rais Dkt..Jakaya Mrisho Kikwete akikagua Daraja la mto Msimbazi Eneo la Jangwani wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam leo.

No comments:

Post a Comment