Waziri wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe
akiwapungia mkono wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), na wananchi
waliofika kumpokea nje ya Ofisi ya CCM Mkoa wa Mbeya jana, baada ya
kuwasili mkoani humo kwa ajili ya kutafuta wadhamini watakaotia saini
fomu zake za kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama
hicho, ambapo aliweza kupata wadhamini zaidi ya 877.
Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la
Mtama, Bernard Membe (katikati) akilakiwa na umati wa wanachama wa Chama
Cha Mapinduzi (CCM), na wananchi waliofika kumpokea nje ya Ofisi ya
CCM Mkoa wa Mbeya jana, baada ya kuwasili mkoani humo kwa ajili ya
kutafuta wadhamini watakaotia saini fomu zake za kuwania urais katika
uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho, ambapo aliweza kupata
wadhamini zaidi ya 877.
No comments:
Post a Comment