DC NEWALA AHAMASISHA WANANCHI KUFANYA SHUGHULI ZA MAENDELEO.
Mkuu
wa Wilaya ya Newala, Christopher Magala akizungumza katika mkutano wa
hadhara Kijiji cha Chihangu wilayani humo katika kuhamasisha shughuli za
maendeleo.
Afisa Mipango wa Halmashauri ya Newala akiwahamasisha wananchi wa Chihangu kushiriki katika shughuli za maendeleo
Wananchi wakimsikiliza Mkuu wa Wilaya pamoja na timu yake.
No comments:
Post a Comment