Monday, 15 September 2014

KATIBU MKUU WA CCM NDUGU ABDULRAHMAN KINANA AKAGUA MIRADI YA MAENDELEO KIBITI


Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akikagua mradi wa maji katika Chanzo cha maji kwenye kijiji cha Muyuyu kata ya wilaya ya Rufiji wakati wa Ziara ya kiongozi huyo inayoendelea katika mkoa wa Pwani, ikiwa ni ukaguzi wa utekelezaji wa ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010. ikiwa ni pamoja na kuhimiza wananchi kushiriki katika shughuli za maendeleo, Katika ziara hiyo Kinana anaongoza na Katibu wa NEC Siasa, Uenezi na Itikadi,(PICHA NA KIKOSI KAZI CHA FULLSHANGWE-KIBITI)4 
Mbunge wa jimbo la Kibiti . Mh. Abdul Marombwa akimtwisha ndoo ya maji mmoja wa watumishi wa zahanati ya kijiji cha Muyuyu wakati ziara ya katika mkoa wa Pwani7 
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Andulrahmani Kinana akipanda mti katika zahanati ya kijiji cha Nyamatanga wilayani Kibiti mkwani Pwani 8 
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Andulrahmani Kinana akishiriki ujenzi katika zahanati ya kijiji   
11
Jengo la zahanati ya kijiji cha Nyamatanga 16
Nape Nnauye Katibu wa NEC Siasa, Itikadi na Uenezi akizumza na wananchi wa kijiji 
Nyamatanga kata ya Nyamatanga
  19 
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Andulrahmani Kinana akishiriki kupiga marimba katika 
cha Songa.
  20 
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Andulrahmani Kinana akiweka jiwe la msingi katika ofisi ya 
  21  
Nape Nnauye Katibu wa NEC Siasa, Itikadi na Uenezi akishiriki katika ujenzi wa ofisi ya
 Kibiti CCM
  22 
Katibu Mkuu mahia kuc yindwa CCM Ndugu Andulrahmani Kinana akipata mahindi ya 
kuchoma mjini Kibiti.
  23 
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Andulrahmani Kinana akikagua soko jipya mjini Kibiti. 24 
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Andulrahmani Kinana akikagua soko jipya mjini Kibiti. 25 
MsKatibu wa CCM Mkoa wa Pwani mama Joyce Masunga akizungumza na waanchinchi wa 
Kibiti.
  26 
Mkuu wa wilaya ya Rufiji Bw. Nurdin Babu akiteta jammbo na Mbenge wa jimbo la Kibiti Mh. Abdul Marombwa huku Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Pwani Ndugu Mwisheshe Mlao.30 
Nape Nnauye Katibu wa NEC Siasa, Itikadi na Uenezi akimsikiliza aliyekuwa Selemani Ndumbogani Mwenyekiti wa Chama cha CHADEMa Kibiti mara baada ya kutangaza kurejea CCM. 31 
Selemani Ndumbogani Mwenyekiti wa Chama cha CHADEMa Kibiti maraa akikabidhi kadi yake kwa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Andulrahmani Kinana baada ya kutangaza kurejea 
CCM. 
  32 
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Andulrahmani Kinana akizungumza jambo na wazeee wa baada ya kuweka jiwe la msingi ujenzi wa ofisi ya serikali ya kijiji cha Kinyanya.

No comments:

Post a Comment