Saturday, 22 November 2014

WENGI WAJITOKEZA MAZISHI YA MWANDISHI WA HABARI ZA MICHEZO, MAREHEMU BARAKA KARASHANI

 Mwili wa Mwandishi wa Habari marehemu Baraka Karashani ukiwasili katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam. 
 Mke wa Marehemu, Baraka Karashani, Gloria na watoto wake Bonny na Belinda wakiweka shada la maua katika kaburi wakati wa mazishi yaliyofanyika kwenye makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam
Mzee Phili Karashani akitoa neno la shukrani wakati wa mazishi ya mtoti wake Baraka Karashani.
 Mtoto wa marehemu, Baraka Karashani akiwa ameshika picha ya marehemu baba yake.
 Phili Karashani na mkewe akiweka shada la maua katika kaburi mtoto wao Baraka Karashani.
 Mchungaji akiweka shada la maua.
Katibu Mkuu wa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo (TASWA), Amir Mhando akiweka shada la maua katika kaburi la marehemu Baraka Karashani.(Picha na Francis Dande)

No comments:

Post a Comment