Thursday, 22 January 2015

KATIBU MKUU WA CCM NDUGU ABDULRAHMAN KINANA AENDELEA NA ZIARA UNGUJA KASKAZINI

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipokelewa na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Ndugu Vuai Ali Vuai mara baada ya kuwasili katika kijiji cha Kikobweni jimbo la Chaani mkoa wa Unguja Kaskazini  akiwa katika ziara ya kukagua na kuhimiza utekelezaji wa ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010 inayotekelezwa na serikali ikiwa ni pamoja  kuhimiza uhai wa Chama Cha Mapinduzi mahali ambapo kimelegalega na kuongeza nguvu mahali ambapo kinatekeleza vizuri ilani ya uchaguzi, Katika ziara hiyo Katibu Mkuu Abdulrahman Kinana anaongozana na Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-UNGUJA KASKAZINI). 2 
Baadhi ya wananchi wakiondoka mara baada ya kufanya kazi ya kusafisha barabara hiyo kwa pamoja na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana. 9 
Baadhi ya viongozi wa timu mbalimbali za jimbo la Nungwi wakiwa na jezi na mipira yao mara baada ya kukabidhiwa kwenye uwanja wa Tazari ambapo pia Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana alishiriki katika ujenzi wa ukuta wa uwanja huo. 12Mwandishi wa habari kutoka kituo cha televisheni cha Star TV ambaye yuko katika ziara hiyo akishiriki kupiga Dufu katika kijiji cha Banda Maji.  13 
Baadhi ya wanahabari ambao wako katika ziara ya  Katibu Mkuu huyo wakiwa kazini. 17 
  18 19 
Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi akiwaaapisha wanachama wapya wa CCM kwenye uwanja wa Skuli mjini Nungwi.

No comments:

Post a Comment