POLITIKS BLOG

.

.

Pages

  • Home
  • MAWASILIANO
  • MATUKIO

Saturday, 10 January 2015

MBUNGE WA MBEYA MJINI JOSEPH MBILINYI APATA AJALI KITONGA MKOANI IRINGA

unnamed1kPicha zikionyesha matukio mbalimbali ya tukio la ajali ya gari iliyohusisha gari la  Mbunge wa jimbo la Mbeya mjini Mh. Joseph Mbilinyi Mr II iliyotokea leo mchana  kwenye mlima wa Kitonga akiwa safarini kutoka Mbeya. hata hivyo katika ajali hiyo watu wote wamenusulika kama wanavyoonekana kwenye picha wa pili kutoka kulia ni Mh. Joseph Mbilinyi Mbunge wa Mbeya mjini.unnamed2kunnamed3kunnamed4k
Posted by POLITIKS BLOG at 11:02
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

No comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

Total Pageviews

Facebook Like Box

My Blog List

  • MICHUZI BLOG
    RAIS WA BURUNDI AMFARIJI RAIS SAMIA KIZIMKAZI ZANZIBAR
    1 week ago
  • Father Kidevu
    DKT. MUYUNGI AITAKA AFRIKA KUTUMIA FURSA YA MADINI
    1 week ago
  • BIN ZUBEIRY
    YANGA SC YASAJILI CHIPUKIZI MWINGINE, NI HUSSEIN MIHAMBO WA MASHUJAA FC
    1 month ago
  • CNN.com - Top Stories
    Abortion and guns in 2024 spotlight
    3 years ago
  • Shaffih Dauda
    Polisi wamtoa chozi Gerrard Pique, aongea maneno haya kwa uchungu mwingi
    8 years ago
  • JamiiForums | The Home of Great Thinkers
Picture Window theme. Powered by Blogger.