Katibu Mkuu wa CCM
Ndugu Abdulrahman Kinana akimkaribisha Balozi wa Ireland nchini Fionnuala
Gilsenan ofisini kwake leo februari 9,2015 jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa CCM Ndugu
Abdulrahman Kinana akizungumza na Balozi wa Ireland nchini Fionnuala
Gilsenan ofisini kwake jijini Dar es Salaam (Picha na Adam Mzee)


No comments:
Post a Comment