Wednesday, 18 March 2015

ABDULRAHMAN KINANA:SIFA YA KWANZA YA KIONGOZI NI UADILIFU SI KUJENGA BARABARA WALA SHULE

Ameongeza kwamba kiongozi akiharibu kazi atoke nje serikali hii ni ya chama cha mapinduzi hivyo wana CCM wanatakiwa kuwa wa kwanza kuisafisha  msingoje mtu kutoka nje aisafishe ,  Ninaahidi tutachukua hatua zaidi kuisafisha serikali.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-ARUMERU)3Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishieiki kumwaga zege kwa kutumia toroli wakati alipokagua ujenzi wa daraja la Kisongo wilayani Arumeru.5Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akirudisha toroli mara baada ya kumwaga zege katika ujenzi wa daraja hilo.7Hili ndilo daraja lenyewe 8Nape Nnauye akiongozana na wananchi wa kijiji cha Nduruma wilayani Arumeru wakati alipofika kijiji hapo kusikiliza kero za wananchi.10Mbunge wa jimbo la Arumeru Magharibi Mh. Gudluck Ole Medeye11Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wananchi wa kijiji cha Nduruma12Mbunge wa jimbo la Arumeru Magharibi Mh. Gudluck Ole Medeye akizungumza jambo wakati Abdulrahman Kinana kushoto alipotembelea na kukagua ujenzi wa kituo cha afya cha Manyire kata ya Malangarini , wa kwanza kulia ni Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi na wa pili kutoka kulia ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Arusha Ole Nangole.13Diwani wa kata ya Mlangarini Mathias Manga  akizungumza jambo wakati Abdulrahman Kinana kushoto alipotembelea na kukagua ujenzi wa kituo cha afya cha Manyire kata ya Malangarini , wa kwanza kulia ni Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi na wa pili kutoka kulia ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Arusha Ole Nangole.
15Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wananchi wa kijiji cha Manyire kata ya Mlangarini na kumshukuru diwani wa kata hiyo Bw. Mathias Manga kulia  kwa kujenga kituo hicho16Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki katika ujenzi wa kituo hicho kwa  kumwaga zege katika nguzo akisaidiana na diwani Mathias Manga.17Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipata maelezo kutoka kwa Diwania Mathias Manga wakati alipokagua ujenzi wa kituo hicho.18Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipata maelezo kutoka kwa Diwania Mathias Manga wakati alipokagua ujenzi wa kituo hicho.19Shule ya sekondari ya Sokoni II ambayo Kinana alikagua ujenzi wake pia.20Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki ujenzi wa shule ya Sokoni II  wakati alipokagua ujenzi wa shule hiyo,21Mbunge wa jimbo la Arumeru Magharibi Mh. Gudluck Ole Medeye akizungumza na wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye shule ya msingi ya Ngaramtoni kata ya Olturumet.23Nape nnauye Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi akiwahutubia wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye shule ya msingi ya Ngaramtoni kata ya Olturumet.24Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye shule ya msingi ya Ngaramtoni kata ya Olturumet.25Nape Nnauye akizungumza na diwania wa kata ya Mlangarini Mathias Manga wakati wa  katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye shule ya msingi ya Ngaramtoni kata ya Olturumet.26Kinana akisisitiz jambo wakati alipokuwa akiwahutubia wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye shule ya msingi ya Ngaramtoni kata ya Olturumet.

No comments:

Post a Comment