Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akivuka mfereji wakati alipokagua mradi wa mashamba ya umwagiliaji ya vitunguu katika kijiji cha Mang’ola Barazani Wilayani Karatu wakati akiwa katika ziara ya kikazi mkoani Arusha akihimiza na kukagua utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM ambayo hata hivyo katika wilaya ya Karatu imeonekana kukwamishwa na Mbunge wa jimbo hilo Mchungaji Israel Natse Chadema, Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo na madiwani kwa kuitenga baadhi ya miradi ambayo ipo katika vijiji ambavyo madiwani na wenyeviti wa vijiji wanatoka Chama cha Mapinduzi CCM ambapo wananchi wa kijiji hicho wamemlalamikia Kinana.
Mfano mradi wa Kituo cha afya cha Baray Mbuga Nyekundu ambapo serikali kuu ilitenga na kupeleka fedha kiasi cha shilingi milioni 60 katika halmashauri hiyo kwa ajili ya ujenzi wa majengo ya kituo hicho, lakini fedha hizo zimeondolewa katika mradi huo na madiwani hao na hazijulikani zimefanya kazi gani huku wananchi wakitaabika kwa kutopata huduma nzuri za afya kijijini hapo.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-KARATU-ARUSHA)
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kufukua mchanga kwenye mfereji unaopitisha maji kwa ajili ya kumwagilia mashamba ya vitunguu katika kijiji cha Mang’ola Barazani wilayani Karatu.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kupanda vitunguu pamoja na wananchi katika mashamba hayo.
Baadhi ya wananchi wakiwa wamekaa juu ya mti wakati walipokuwa wakimsikiliza Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana hayupo pichani alipozungumza nao kwenye mkutano wa hadhara kijijini Mang’ola.

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia wananchi katika kjiji cha Mang’ola.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kumwaga zege katika ujenzi wa ofisi ya kijiji cha Rhotia wilayani Karatu.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiweka jiwe la msingi katika ukumbi wa kitegauchumi cha kijiji cha Kilimatembo mjini Karatu.
Mbunge wa viti maalum Kupitia vijana CCM mkoa wa Arusha Catherine Magige akiwasalimia maelfu ya wananchi waliojitokeza katika mkutano wa hadhara mjini Karatu.
Umati wa wananchi wakifuatilia mkutano huo.
Mkuu wa wilaya ya Karatu Mh. Omar Kwang akisalimia wananchi.
Mkuu wa mkoa wa Arusha Mh. Felix Ntibenda akiwasalimia wananchi.
Nape Nnauye akiwahutubia wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika leo mjini Karatu.
Nape Nnauye akisisitiza jambo katika mkutano huo
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia wananchi na kujibu hoja mbalimbali ambapo aliwaambia maswali mengi yanaelekea kwa mbunge wa jimbo hilo, madiwani na mwenyekiti wa halmashauri kwa kuwa ndiyo wenye kusimamia miradi na kuwapa taarifa wananchi, Lakini viongozi hao wamekuwa wakifanya mambo wanavyotaka na kuacha wananchi wakipata taabu.

Hata hivyo Kinana amesema wananchi wa Karatu ni watanzania na wana haki ya kupata huduma mbalimbali za maendeleo na serikali ya CCM haitawaacha kama wanavyoachwa na viongozi wao wa CHADEMA waliowachagua wenyewe.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiisisitiza jambo katika mkutano huo.
Mmoja wa vijana waliohama CHADEMA na kujiunga na Chama cha Mapunduzi CCM akizungumza na wananchi katika mkutano huo.

No comments:
Post a Comment