POLITIKS BLOG

.

.

Pages

  • Home
  • MAWASILIANO
  • MATUKIO

Monday, 2 March 2015

RAIS KIKWETE AONGOZA KUMUAGA MAREHEMU KOMBA KARIMJEE

1Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma  wakitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu Kapteni John Komba mbunge wa jimbo la Mbinga Magharibi katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam leo.Kapteni Komba anatarajiwa kuzikwa kijijini Kwake Lituhi wilaya ya Nyasa Mkoani Ruvuma.2Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma  wakitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu Kapteni John Komba mbunge wa jimbo la Mbinga Magharibi katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam leo.Kapteni Komba anatarajiwa kuzikwa kijijini Kwake Lituhi wilaya ya Nyasa Mkoani Ruvuma.3.Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakimfariji mjane wa marehemu Salome Komba katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam leo(picha na Freddy Maro)
Posted by POLITIKS BLOG at 03:54
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

No comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

Total Pageviews

Facebook Like Box

My Blog List

  • MICHUZI BLOG
    MBUNGE BITEKO AMWAGIA SIFA MNEC EVARIST KWA MAPINDUZI YA MIUNDOMBINU YA CCM GEITA.
    3 hours ago
  • Father Kidevu
    WATUMISHI WA TUME YA MADINI WASHIRIKI MAADHIMISHO YA MEI MOSI KITAIFA NJOMBE
    1 day ago
  • BIN ZUBEIRY
    MBEYA CITY NA MASHUJAA FC HAKUNA MBABE, SARE 1-1 SOKOINE
    2 days ago
  • CNN.com - Top Stories
    Abortion and guns in 2024 spotlight
    2 years ago
  • Shaffih Dauda
    Polisi wamtoa chozi Gerrard Pique, aongea maneno haya kwa uchungu mwingi
    8 years ago
  • JamiiForums | The Home of Great Thinkers
Picture Window theme. Powered by Blogger.