Tuesday 4 August 2015

DR. JOHN POMBE MAGUFULI ACHUKUA FOMU KWA KISHINDO

????????????????????????????????????
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapunduzi CCM Dr. John Pombe Magufuli na Mgombea Mwenza Ndugu Samia Hassan Suluhu wakionyesha fomu zao za kuomba kugombea urais mara baada ya kuchukua kwenye ofisi za Tume ya Uchaguzi jijini Dar es salaam leo, ambapo walisindikizwa na viongozi mbalimbali pamoja na wanachama wa CCM na wananchi kwa ujumla wakiwa wamepanda kwenye gari maalum lililowabeba.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-DAR ES SALAAM)
????????????????????????????????????
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapunduzi CCM Dr. John Pombe akionyesha fomu huku mgombea Mwenza Ndugu Samia Hassan Suluhu akipunga mkono wa wananchi na wana CCM waliowasindikiza.
????????????????????????????????????
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapunduzi CCM Dr. John Pombe na Mgombea Mwenza Ndugu Samia Hassan Suluhu wakiwa kwenye gari maalum mara baada ya kuchukua fomu za kuomba kugombea urais katika Ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi.
????????????????????????????????????
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Ndugu Nape Nnauye akiwa amepanda kwenye gari na wapiga picha wakati msafara wa mgombea wa Urais Kutpitia CCM Dr. John Pombe Magufuli ukuelekea katika ofisi Ndogo za Makao Makuu ya CCM Lumumba jijini Dar es salaam.
????????????????????????????????????
Msafara wa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapunduzi CCM Dr. John Pombe na Mgombea Mwenza Ndugu Samia Hassan Suluhu  ukirejea Makao Makuu ya CCM Lumumba jijini Dar es salaam ambapo umepokelewa na Mwenyekiti wa CCM Dr. Jakaya Kikwete.
????????????????????????????????????
Baadhi ya wananchi wakiufurahia msafara wa  Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapunduzi CCM Dr. John Pombe na Mgombea Mwenza Ndugu Samia Hassan Suluhu .
????????????????????????????????????
Waziri wa Sheria na Katiba Dr. Asha Rose Migiro akicheza kwa furaha.
????????????????????????????????????
Mwenyekiti wa CCM Dr. Jakaya Kikwete, Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Mzee Philip Mangula na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana wakimlaki Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapunduzi CCM Dr. John Pombe na Mgombea Mwenza Ndugu Samia Hassan Suluhu wakati wakiwasili katika ofisi za Makao Makuu ya CCM Lumumba jijini Dar es salaam.
????????????????????????????????????
Mwenyekiti wa CCM Dr. Jakaya Kikwete akimkumbatia kwa furaha Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapunduzi CCM Dr. John Pombe mara baada ya kumpokea katika makao makuu ya CCM Lumumba jijini Dar es salaam.
????????????????????????????????????
Mwenyekiti wa CCM Dr. Jakaya Kikwete akishuhudia Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapunduzi CCM Dr. John Pombe Magufuli  na Mgombea Mwenza Ndugu Samia Hassan Suluhu wakati wakionyesha fomu zao kwa wananchi na wanachama wa CCM mara baada ya kuwasili katika ofisi za Makao Makuu ya CCM Lumumba jijini Dar es salaam.


????????????????????????????????????
Mgombea Mwenza Ndugu Samia Hassan Suluhu akizungumza na wana CCM na wananchi kwenye makao makuu ya CCM Lumumba.
????????????????????????????????????
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Ndugu Nape Nnauye akizungumza na Bw. Emmanuel Mbasha wakati wa mapokezi hayo ya wagombea wa CCM katika makao makuu ya CCM Lumumba.
????????????????????????????????????
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapunduzi CCM Dr. John Pombe Magufuli akizungmza na wana CCM na wananchi mara baada ya kuchukua fomu ya kuomba kugombea Urais katika ofisi za Tume ya Uchaguzi.
????????????????????????????????????
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapunduzi CCM Dr. John Pombe Magufuli akizungmza na wana CCM na wananchi mara baada ya kuchukua fomu ya kuomba kugombea Urais katika ofisi za Tume ya Uchaguzi.
????????????????????????????????????
Mwenyekiti wa CCM Dr. Jakaya Kikwete akiiimba kwa pamoja na  Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapunduzi CCM Dr. John Pombe Magufuli  na Mgombea Mwenza Ndugu Samia Hassan Suluhu wakati  mara baada ya kuwasili katika ofisi za Makao Makuu ya CCM Lumumba jijini Dar es salaam.
????????????????????????????????????
Baadhi ya wananchi na wana CCM wakiwa wamefurika katika makao makuu ya CCM Lumumba wakati wa Uchukuaji wa Fomu za kuomba  Kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika tume ya Uchaguzi .
????????????????????????????????????
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Ndugu Nape Nnauye akizungumza na wananchi na wana CCM waliohudhuria katika uchukuaji huo wa fomu za Kugombea Urais.
????????????????????????????????????
Mwenyekiti wa CCM Dr. Jakaya Kikwete akiwa amekaa  pamoja na  Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapunduzi CCM Dr. John Pombe Magufuli  na Mgombea Mwenza Ndugu Samia Hassan Suluhu wakati  mara baada ya mgombea huyo  kuwasili katika ofisi za Makao Makuu ya CCM Lumumba jijini Dar es salaam Kutoka kushoto ni Mzee Steven Wassiran Ndugu Abdulrahman Kinana Katibu Mkuu wa CCM na kutoka kushoto ni Mama Salm Kikwete na Mzee Philip Mangula Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara.
????????????????????????????????????
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na kumkaribisha Mwenyekiti wa CCM Dr. Jakaya Kikwete katika mapokezi hayo.
????????????????????????????????????
Mwenyekiti wa CCM Ndugu Dr. Jakaya Kikwete akizungumza na wananchi na kumkaribisha mgombea Urais Dr. John Pombe Magufuli.
????????????????????????????????????
Mwenyekiti wa CCM Ndugu Dr. Jakaya Kikwete akizungumza na wananchi na kumkaribisha mgombea Urais Dr. John Pombe Magufuli.
????????????????????????????????????
Wananchi wakiwa wamefurika katika mapokezi hayo
????????????????????????????????????
Kundi la TOT likitumuiza katika mapokezi hayo ya wagombea.

No comments:

Post a Comment