Mbunge wa Jimbo la Morogoro kusini Mh Innocent Kalogeris (kulia)
Ahimkabidhi Pikipiki 11 Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Morogoro Vijijini Mh
Jazar Ikiwa Ni ahadi yake aliyoitoa ya Kukusaidia chama cha Mapinduzi
Kujitegemea Kiuchumi.Mh Kalogeris Amekabidhi pikipiki hizo akiwa na
Lengo Kila kata Kuwa na Pikipiki MMoja uwe Mradi wa Chama ili kuwezesha
Kila kata Kuendesha Shuguli za Chama Bila kuwa wategemezi .Mbunge
Kalogeris amehadi kuhakikisha kata zote za jimbo hilo zinapatiwa
Pikipiki.Mh Kalogeris amesisitiza Pikipiki hizo ni mali ya CCM Wilaya ya
Morogoro Vijijini na si mali ya watu binafsi.
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Kusini Mh Innocent Kalogeris Akitoa hotuba
yake Namna atakavyoshirikiana na Wanachama na Viongoizi wa Jimbo la
Morogoro Kusini bega kwa bega ili chama hicho kiweze kujitegemea
kiuchumi kwajili ya kutekeleza Majukumu yake ya Kila siku Ikiwemo
Kushinda kwa kishindo Uchaguzi wa serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu
mwaka 2O15.
Mwenyekiti
wa CCM Morogoro Vijijini Mh Jazar akisisitiza jambo wakati akitoa neno
la Shukrani mara Baada ya Kupokea Msaada ikiwa ni Utekelezaji wa Ahadi
ya Mbunge wa Jimbo la Morogoro Kusini Mh Kalogeris aaliyoitoa kwajili ya
kukifanya Chama cha Mapinduzi Kujitegemea Kiuchumi.
Wanachama na wapenzi wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Morogoro vijijini waliojitokeza wakati wa Kupokea Msaada huo.
No comments:
Post a Comment