| Mbunge wa Kalenga Godfrey Mgimwa akiongoza viongozi kutembelea ujenzi wa zahanati kijiji cha Mangalali |
| Diwani wa kata ya Ulanda kulia akitoa ufafanuzi kwa mbunge wa jimbo la Kalenga Bw Mgimwa kuhusu maendeleo ya ujenzi wa zahanati kijiji cha Mangalali |
| Katibu wa mbunge Mgimwa kulia Bw Martine Simangwa kulia akiteta jambo na mbunge Mgimwa |
| Mwananchi wa kijiji cha Mangalali akisalimia na mbunge wa jimbo la Kalenga Bw Godfrey Mgimwa |
| Mbunge Mgimwa akidua sanjari na wananchi wa kijiji cha Mangalali |
| Mmoja kati ya wananchi wa kijiji cha Mangalali akimpongeza mbunge Godfrey Mgimwa kwa utendaji kazi mzuri |
| Katibu wa Mgimwa akiwaonya wana CCM wanaojipitisha jimboni kwa sasa |
| Baadhi ya Wananchi wa kijiji cha Mangalali wakiwa katika mkutano wa mbunge wao Bw Mgimwa |
Mbunge wa jimbo la Kalenga Bw Godfrey Mgimwa kulia akikabidhi mchango wake wa Tsh 250,000 kwa ajili ya kusaidia kazi ndogo ndogo za ujenzi wa zanahati ya kijiji cha Mangalali
No comments:
Post a Comment