Wednesday, 10 September 2014

Rais Museveni awasili nchini kwa Ziara ya kikazi ya siku moja

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere kwa ziara ya kikazi ya siku moja. D92A9334 
Rais Dkt.Jakaya Mrisho kikwete akimtambulisha kwa Rais Museveni Mkuu wa Majeshi ya Tanzania Jenerali Davies Mwamunyange muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere kwa ziara ya kikazi ya siku moja.Kushoto ni Inspekta Jenerali wa Polisi Ernest Mangu. D92A9373 
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mgeni wake Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda wakikagua gwaride la Heshima lililoandaliwa na jeshi la Wananchi wa Tanzania. D92A9384 
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na Rais Yoweri Museveni wa Uganda wakikagua ngoima za utamaduni.

No comments:

Post a Comment